MKUTANO WA DHARURA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI(EAC) KUHUSU EPANchi za Afrika Mashariki(EAC) zimehairisha kwa miezi 3 kusaini Mkataba wa EPA hadi baadhi ya mambo yanayobishaniwa yatatuliwe. Moja ya mambo yanayobishaniwa ni jinsi gani Jumuiya ya Afrika Mashariki itaweza kujiuzuia isigeuzwe soko la bidhaa za kilimo kutoka Ulaya.


Post time: Jan-01-2017